Native Bible

Job 9:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ingawa mtu angetaka kushindana naye, asingaliweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja.

Job 9:3 in English

Job 9:3 · Berean Standard Bible

If one wished to contend with God,* he could not answer Him one time out of a thousand.

Context

1Kisha Ayubu akajibu: 2“Naam, najua hili ni kweli. Lakini mwanadamu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 3Ingawa mtu angetaka kushindana naye, asingaliweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja. 4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 5Aiondoa milima bila yenyewe kujua na kuipindua kwa hasira yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.