Ayubu 9:2
Job 9:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Naam, najua hili ni kweli. Lakini mwanadamu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu?
Job 9:2 in English
Job 9:2 · Berean Standard Bible
“Yes, I know that it is so, but how can a mortal be righteous before God?
Context
1Kisha Ayubu akajibu: 2“Naam, najua hili ni kweli.
Lakini mwanadamu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 3Ingawa mtu angetaka kushindana naye,
asingaliweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja. 4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno.
Ni nani aliyempinga naye akawa salama?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.