Native Bible

Job 9:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Ayubu akajibu:

Job 9:1 in English

Context

1Kisha Ayubu akajibu: 2“Naam, najua hili ni kweli. Lakini mwanadamu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 3Ingawa mtu angetaka kushindana naye, asingaliweza kumjibu Mungu hata mara moja miongoni mwa elfu moja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.