Native Bible

Job 9:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali, siamini kama angenisikiliza.

Job 9:16 in English

Job 9:16 · Berean Standard Bible

If I summoned Him and He answered me, I do not believe He would listen to my voice.

Context

14“Ni vipi basi mimi nitaweza kubishana naye? Nawezaje kupata maneno ya kuhojiana naye? 15Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu; ningeweza tu kumsihi Mhukumu wangu anihurumie. 16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali, siamini kama angenisikiliza. 17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 18Asingeniacha nipumue bali angenifunika kabisa na huzuni kuu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.