Ayubu 9:20
Job 9:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu; kama sikuwa na kosa, kingenitangaza kuwa mwenye hatia.
Job 9:20 in English
Job 9:20 · Berean Standard Bible
Even if I were righteous, my mouth would condemn me; if I were blameless, it would declare me guilty.*
Context
18Asingeniacha nipumue
bali angenifunika kabisa na huzuni kuu. 19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu!
Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani? 20Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu;
kama sikuwa na kosa, kingenitangaza kuwa mwenye hatia. 21“Ingawa mimi sina kosa,
haileti tofauti katika nafsi yangu;
nauchukia uhai wangu. 22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema,
‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.