Native Bible

Job 9:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ingawa mimi sina kosa, haileti tofauti katika nafsi yangu; nauchukia uhai wangu.

Job 9:21 in English

Job 9:21 · Berean Standard Bible

Though I am blameless, I have no concern for myself; I despise my own life.

Context

19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu! Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani? 20Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu; kama sikuwa na kosa, kingenitangaza kuwa mwenye hatia. 21“Ingawa mimi sina kosa, haileti tofauti katika nafsi yangu; nauchukia uhai wangu. 22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema, ‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 23Wakati pigo liletapo kifo cha ghafula, yeye hudhihaki kule kukata tamaa kwa yule asiye na kosa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.