Ayubu 9:23
Job 9:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati pigo liletapo kifo cha ghafula, yeye hudhihaki kule kukata tamaa kwa yule asiye na kosa.
Job 9:23 in English
Job 9:23 · Berean Standard Bible
When the scourge brings sudden death, He mocks the despair of the innocent.
Context
21“Ingawa mimi sina kosa,
haileti tofauti katika nafsi yangu;
nauchukia uhai wangu. 22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema,
‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 23Wakati pigo liletapo kifo cha ghafula,
yeye hudhihaki kule kukata tamaa kwa yule asiye na kosa. 24Wakati nchi inapoangukia mikononi mwa waovu,
yeye huwafunga macho mahakimu wake.
Kama si yeye, basi ni nani? 25“Siku zangu zapita mbio kuliko mkimbiaji;
zinapita upesi bila kuona furaha hata kidogo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.