Ayubu 7:13
Job 7:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu,
Job 7:13 in English
Job 7:13 · Berean Standard Bible
When I think my bed will comfort me and my couch will ease my complaint,
Context
11“Kwa hiyo sitanyamaza;
nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu,
nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu. 12Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini,
hata uniweke chini ya ulinzi? 13Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji,
nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, 14ndipo wanitisha kwa ndoto
na kunitia hofu kwa maono, 15hivyo ninachagua kujinyonga na kufa,
kuliko huu mwili wangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.