Native Bible

Job 7:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, hata uniweke chini ya ulinzi?

Job 7:12 in English

Job 7:12 · Berean Standard Bible

Am I the sea, or the monster of the deep, that You must keep me under guard?

Context

10Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena. 11“Kwa hiyo sitanyamaza; nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu. 12Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, hata uniweke chini ya ulinzi? 13Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, 14ndipo wanitisha kwa ndoto na kunitia hofu kwa maono,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.