Ayubu 7:14
Job 7:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ndipo wanitisha kwa ndoto na kunitia hofu kwa maono,
Job 7:14 in English
Job 7:14 · Berean Standard Bible
then You frighten me with dreams and terrify me with visions,
Context
12Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini,
hata uniweke chini ya ulinzi? 13Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji,
nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, 14ndipo wanitisha kwa ndoto
na kunitia hofu kwa maono, 15hivyo ninachagua kujinyonga na kufa,
kuliko huu mwili wangu. 16Ninayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi.
Niache; siku zangu ni ubatili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.