Native Bible

Job 7:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

hivyo ninachagua kujinyonga na kufa, kuliko huu mwili wangu.

Job 7:15 in English

Job 7:15 · Berean Standard Bible

so that I would prefer strangling and death over my life in this body.

Context

13Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, 14ndipo wanitisha kwa ndoto na kunitia hofu kwa maono, 15hivyo ninachagua kujinyonga na kufa, kuliko huu mwili wangu. 16Ninayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi. Niache; siku zangu ni ubatili. 17“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki, kwamba unamtia sana maanani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.