Ayubu 7:17
Job 7:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki, kwamba unamtia sana maanani,
Job 7:17 in English
Job 7:17 · Berean Standard Bible
What is man that You should exalt him, that You should set Your heart upon him,
Context
15hivyo ninachagua kujinyonga na kufa,
kuliko huu mwili wangu. 16Ninayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi.
Niache; siku zangu ni ubatili. 17“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki,
kwamba unamtia sana maanani, 18kwamba unamwangalia kila asubuhi
na kumjaribu kila wakati? 19Je, hutaacha kamwe kunitazama,
au kuniacha japo kwa kitambo kidogo tu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.