Ayubu 7:18
Job 7:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwamba unamwangalia kila asubuhi na kumjaribu kila wakati?
Job 7:18 in English
Job 7:18 · Berean Standard Bible
that You attend to him every morning, and test him every moment?
Context
16Ninayachukia maisha yangu; nisingetamani kuendelea kuishi.
Niache; siku zangu ni ubatili. 17“Mwanadamu ni kitu gani hata umjali kiasi hiki,
kwamba unamtia sana maanani, 18kwamba unamwangalia kila asubuhi
na kumjaribu kila wakati? 19Je, hutaacha kamwe kunitazama,
au kuniacha japo kwa kitambo kidogo tu? 20Ikiwa nimetenda dhambi, nimekufanyia nini,
Ewe mlinzi wa wanadamu?
Kwa nini umeniweka niwe shabaha yako?
Je, nimekuwa mzigo kwako?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.