Native Bible

Job 7:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena.

Job 7:10 in English

Job 7:10 · Berean Standard Bible

He never returns to his house; his place remembers him no more.

Context

8Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; utanitafuta, wala sitakuwepo. 9Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini* harudi tena. 10Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena. 11“Kwa hiyo sitanyamaza; nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu. 12Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, hata uniweke chini ya ulinzi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.