Ayubu 7:8
Job 7:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; utanitafuta, wala sitakuwepo.
Job 7:8 in English
Job 7:8 · Berean Standard Bible
The eye that beholds me will no longer see me. You will look for me, but I will be no more.
Context
6“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma,
nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini. 7Kumbuka, Ee Mungu, maisha yangu ni kama pumzi;
macho yangu kamwe hayataona tena raha. 8Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena;
utanitafuta, wala sitakuwepo. 9Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka,
vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini* harudi tena. 10Kamwe harudi tena nyumbani mwake;
wala mahali pake hapatamjua tena.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.