Native Bible

Job 7:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini* harudi tena.

Job 7:9 in English

Job 7:9 · Berean Standard Bible

As a cloud vanishes and is gone, so he who goes down to Sheol does not come back up.

Context

7Kumbuka, Ee Mungu, maisha yangu ni kama pumzi; macho yangu kamwe hayataona tena raha. 8Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; utanitafuta, wala sitakuwepo. 9Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini* harudi tena. 10Kamwe harudi tena nyumbani mwake; wala mahali pake hapatamjua tena. 11“Kwa hiyo sitanyamaza; nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.