Ayubu 6:28
Job 6:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu?
Job 6:28 in English
Job 6:28 · Berean Standard Bible
But now, please look at me. Would I lie to your face?
Context
26Je, mna maana ya kuyasahihisha ninayosema,
na kuyafanya maneno ya mtu anayekata tamaa kama upepo? 27Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima,
na kubadilishana rafiki yenu na mali. 28“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi.
Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu? 29Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu;
angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu.* 30Je, pana uovu wowote midomoni mwangu?
Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.