Native Bible

Job 6:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali.

Job 6:27 in English

Job 6:27 · Berean Standard Bible

You would even cast lots for an orphan and barter away your friend.

Context

25Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? 26Je, mna maana ya kuyasahihisha ninayosema, na kuyafanya maneno ya mtu anayekata tamaa kama upepo? 27Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali. 28“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu? 29Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.