Native Bible

Job 6:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini?

Job 6:25 in English

Job 6:25 · Berean Standard Bible

How painful are honest words! But what does your argument prove?

Context

23au niokoeni mikononi mwa adui, au nikomboeni kutoka makucha ya wasio na huruma’? 24“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya; nionyesheni nilikokosea. 25Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? 26Je, mna maana ya kuyasahihisha ninayosema, na kuyafanya maneno ya mtu anayekata tamaa kama upepo? 27Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.