Ayubu 6:24
Job 6:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya; nionyesheni nilikokosea.
Job 6:24 in English
Job 6:24 · Berean Standard Bible
Teach me, and I will be silent. Help me understand how I have erred.
Context
22Je, nimewahi kusema, ‘Toeni kitu kwa ajili yangu,
au mnilipie fidia kutoka mali zenu, 23au niokoeni mikononi mwa adui,
au nikomboeni kutoka makucha ya wasio na huruma’? 24“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya;
nionyesheni nilikokosea. 25Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli!
Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? 26Je, mna maana ya kuyasahihisha ninayosema,
na kuyafanya maneno ya mtu anayekata tamaa kama upepo?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.