Native Bible

Job 6:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

au niokoeni mikononi mwa adui, au nikomboeni kutoka makucha ya wasio na huruma’?

Job 6:23 in English

Job 6:23 · Berean Standard Bible

deliver me from the hand of the enemy; redeem me from the grasp of the ruthless’?

Context

21Sasa nanyi mmethibitika kwamba hamna msaada wowote; mnaona jambo la kutisha, nanyi mnaogopa. 22Je, nimewahi kusema, ‘Toeni kitu kwa ajili yangu, au mnilipie fidia kutoka mali zenu, 23au niokoeni mikononi mwa adui, au nikomboeni kutoka makucha ya wasio na huruma’? 24“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya; nionyesheni nilikokosea. 25Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.