Ayubu 6:22
Job 6:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, nimewahi kusema, ‘Toeni kitu kwa ajili yangu, au mnilipie fidia kutoka mali zenu,
Job 6:22 in English
Job 6:22 · Berean Standard Bible
Have I ever said, ‘Give me something; offer me a bribe from your wealth;
Context
20Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini;
wanafika huko, lakini wanahuzunika kwa kukosa walichotarajia. 21Sasa nanyi mmethibitika kwamba hamna msaada wowote;
mnaona jambo la kutisha, nanyi mnaogopa. 22Je, nimewahi kusema, ‘Toeni kitu kwa ajili yangu,
au mnilipie fidia kutoka mali zenu, 23au niokoeni mikononi mwa adui,
au nikomboeni kutoka makucha ya wasio na huruma’? 24“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya;
nionyesheni nilikokosea.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.