Native Bible

Job 6:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, mna maana ya kuyasahihisha ninayosema, na kuyafanya maneno ya mtu anayekata tamaa kama upepo?

Job 6:26 in English

Job 6:26 · Berean Standard Bible

Do you intend to correct my words, and treat as wind my cry of despair?

Context

24“Nifundisheni, nami nitanyamaza kimya; nionyesheni nilikokosea. 25Tazama yalivyo ya kuumiza maneno ya kweli! Lakini mabishano yenu yanathibitisha nini? 26Je, mna maana ya kuyasahihisha ninayosema, na kuyafanya maneno ya mtu anayekata tamaa kama upepo? 27Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali. 28“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.