Native Bible

Job 6:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu.*

Job 6:29 in English

Job 6:29 · Berean Standard Bible

Reconsider; do not be unjust. Reconsider, for my righteousness is at stake.

Context

27Mngeweza hata kupiga kura kwa ajili ya yatima, na kubadilishana rafiki yenu na mali. 28“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu? 29Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu.* 30Je, pana uovu wowote midomoni mwangu? Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.