Native Bible

Job 6:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, pana uovu wowote midomoni mwangu? Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?

Job 6:30 in English

Job 6:30 · Berean Standard Bible

Is there iniquity on my tongue? Can my mouth not discern malice?

Context

28“Lakini sasa kuweni na huruma mkaniangalie mimi. Je, ningeweza kusema uongo mbele zenu? 29Tulizeni hasira, msiwe wadhalimu; angalieni tena, kwa maana nimehatarisha uadilifu wangu.* 30Je, pana uovu wowote midomoni mwangu? Je, kinywa changu hakiwezi kupambanua hila?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.