Ayubu 6:12
Job 6:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, mimi nina nguvu za jiwe? Je, mwili wangu ni shaba?
Job 6:12 in English
Job 6:12 · Berean Standard Bible
Is my strength like that of stone, or my flesh made of bronze?
Context
10Ndipo bado ningekuwa na hii faraja,
furaha yangu katika maumivu makali:
kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu. 11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini?
Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? 12Je, mimi nina nguvu za jiwe?
Je, mwili wangu ni shaba? 13Je, ninao uwezo wowote wa kujisaidia mimi mwenyewe,
wakati ambapo mafanikio yamefukuziwa mbali nami? 14“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake,
hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.