Native Bible

Job 6:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, furaha yangu katika maumivu makali: kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu.

Job 6:10 in English

Job 6:10 · Berean Standard Bible

It still brings me comfort, and joy through unrelenting pain, that I have not denied the words of the Holy One.

Context

8“Laiti ningepata haja yangu, kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia, 9kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali! 10Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, furaha yangu katika maumivu makali: kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu. 11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? 12Je, mimi nina nguvu za jiwe? Je, mwili wangu ni shaba?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.