Native Bible

Job 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Laiti ningepata haja yangu, kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia,

Job 6:8 in English

Job 6:8 · Berean Standard Bible

If only my request were granted and God would fulfill my hope:

Context

6Je, chakula kisicho na ladha huliwa bila chumvi, au upo utamu katika ute mweupe wa yai? 7Ninakataa kuvigusa; vyakula vya aina hii hunichukiza. 8“Laiti ningepata haja yangu, kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia, 9kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali! 10Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, furaha yangu katika maumivu makali: kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.