Native Bible

Job 6:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninakataa kuvigusa; vyakula vya aina hii hunichukiza.

Job 6:7 in English

Job 6:7 · Berean Standard Bible

My soul refuses to touch them; they are loathsome food to me.

Context

5Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au ngʼombe dume hulia akiwa na chakula? 6Je, chakula kisicho na ladha huliwa bila chumvi, au upo utamu katika ute mweupe wa yai? 7Ninakataa kuvigusa; vyakula vya aina hii hunichukiza. 8“Laiti ningepata haja yangu, kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia, 9kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.