Ayubu 6:5
Job 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au ngʼombe dume hulia akiwa na chakula?
Job 6:5 in English
Job 6:5 · Berean Standard Bible
Does a wild donkey bray over fresh grass, or an ox low over its fodder?
Context
3Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote,
kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. 4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu,
roho yangu inakunywa sumu yake;
vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 5Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani,
au ngʼombe dume hulia akiwa na chakula? 6Je, chakula kisicho na ladha huliwa bila chumvi,
au upo utamu katika ute mweupe wa yai? 7Ninakataa kuvigusa;
vyakula vya aina hii hunichukiza.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.