Native Bible

Job 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali!

Job 6:9 in English

Job 6:9 · Berean Standard Bible

that God would be willing to crush me, to unleash His hand and cut me off!

Context

7Ninakataa kuvigusa; vyakula vya aina hii hunichukiza. 8“Laiti ningepata haja yangu, kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia, 9kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali! 10Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, furaha yangu katika maumivu makali: kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu. 11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.