Native Bible

Job 6:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu?

Job 6:11 in English

Job 6:11 · Berean Standard Bible

What strength do I have, that I should still hope? What is my future, that I should be patient?

Context

9kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali! 10Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, furaha yangu katika maumivu makali: kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu. 11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? 12Je, mimi nina nguvu za jiwe? Je, mwili wangu ni shaba? 13Je, ninao uwezo wowote wa kujisaidia mimi mwenyewe, wakati ambapo mafanikio yamefukuziwa mbali nami?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.