Native Bible

Job 5:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, nao wazao wako wengi kama majani ya nchi.

Job 5:25 in English

Job 5:25 · Berean Standard Bible

You will know that your offspring will be many, your descendants like the grass of the earth.

Context

23Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba, nao wanyama wa mwitu watakuwa na amani nawe. 24Utajua ya kwamba hema lako li salama; utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua. 25Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, nao wazao wako wengi kama majani ya nchi. 26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake. 27“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.