Native Bible

Job 5:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”

Job 5:27 in English

Job 5:27 · Berean Standard Bible

Indeed, we have investigated, and it is true! So hear it and know for yourself.”

Context

25Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, nao wazao wako wengi kama majani ya nchi. 26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake. 27“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.