Ayubu 5:26
Job 5:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake.
Job 5:26 in English
Job 5:26 · Berean Standard Bible
You will come to the grave in full vigor, like a sheaf of grain gathered in season.
Context
24Utajua ya kwamba hema lako li salama;
utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua. 25Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi,
nao wazao wako wengi kama majani ya nchi. 26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu,
kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake. 27“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli.
Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.