Native Bible

Job 41:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ukiweka mkono wako juu yake, utavikumbuka hivyo vita na kamwe hutarudia tena!

Job 41:8 in English

Job 41:8 · Berean Standard Bible

If you lay a hand on him, you will remember the battle and never repeat it!

Context

6Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake? Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara? 7Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali, au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki? 8Kama ukiweka mkono wako juu yake, utavikumbuka hivyo vita na kamwe hutarudia tena! 9Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya; kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini. 10Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.