Ayubu 41:6
Job 41:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake? Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara?
Job 41:6 in English
Job 41:6 · Berean Standard Bible
Will traders barter for him or divide him among the merchants?
Context
4Je, atafanya agano nawe ili umtwae
awe mtumishi wako maisha yake yote? 5Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege,
au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako? 6Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake?
Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara? 7Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali,
au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki? 8Kama ukiweka mkono wako juu yake,
utavikumbuka hivyo vita na kamwe hutarudia tena!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.