Native Bible

Job 41:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege, au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako?

Job 41:5 in English

Job 41:5 · Berean Standard Bible

Can you pet him like a bird or put him on a leash for your maidens?

Context

3Je, ataendelea kukuomba umhurumie? Atasema nawe maneno ya upole? 4Je, atafanya agano nawe ili umtwae awe mtumishi wako maisha yake yote? 5Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege, au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako? 6Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake? Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara? 7Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali, au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.