Native Bible

Job 41:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, ataendelea kukuomba umhurumie? Atasema nawe maneno ya upole?

Job 41:3 in English

Job 41:3 · Berean Standard Bible

Will he beg you for mercy or speak to you softly?

Context

1“Je, waweza kumvua Lewiathani* kwa ndoano ya samaki, au kufunga ulimi wake kwa kamba? 2Waweza kupitisha kamba puani mwake, au kutoboa taya lake kwa kulabu? 3Je, ataendelea kukuomba umhurumie? Atasema nawe maneno ya upole? 4Je, atafanya agano nawe ili umtwae awe mtumishi wako maisha yake yote? 5Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege, au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.