Native Bible

Job 41:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Je, waweza kumvua Lewiathani* kwa ndoano ya samaki, au kufunga ulimi wake kwa kamba?

Job 41:1 in English

Job 41:1 · Berean Standard Bible

“Can you pull in Leviathan with a hook or tie down his tongue with a rope?

Context

1“Je, waweza kumvua Lewiathani* kwa ndoano ya samaki, au kufunga ulimi wake kwa kamba? 2Waweza kupitisha kamba puani mwake, au kutoboa taya lake kwa kulabu? 3Je, ataendelea kukuomba umhurumie? Atasema nawe maneno ya upole?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.