Native Bible

Job 41:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waweza kupitisha kamba puani mwake, au kutoboa taya lake kwa kulabu?

Job 41:2 in English

Job 41:2 · Berean Standard Bible

Can you put a cord through his nose or pierce his jaw with a hook?

Context

1“Je, waweza kumvua Lewiathani* kwa ndoano ya samaki, au kufunga ulimi wake kwa kamba? 2Waweza kupitisha kamba puani mwake, au kutoboa taya lake kwa kulabu? 3Je, ataendelea kukuomba umhurumie? Atasema nawe maneno ya upole? 4Je, atafanya agano nawe ili umtwae awe mtumishi wako maisha yake yote?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.