Ayubu 41:4
Job 41:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, atafanya agano nawe ili umtwae awe mtumishi wako maisha yake yote?
Job 41:4 in English
Job 41:4 · Berean Standard Bible
Will he make a covenant with you to take him as a slave for life?
Context
2Waweza kupitisha kamba puani mwake,
au kutoboa taya lake kwa kulabu? 3Je, ataendelea kukuomba umhurumie?
Atasema nawe maneno ya upole? 4Je, atafanya agano nawe ili umtwae
awe mtumishi wako maisha yake yote? 5Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege,
au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako? 6Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake?
Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.