Ayubu 41:7
Job 41:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali, au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki?
Job 41:7 in English
Job 41:7 · Berean Standard Bible
Can you fill his hide with harpoons or his head with fishing spears?
Context
5Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege,
au kumfunga kamba kwa ajili ya wasichana wako? 6Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake?
Watamgawanya miongoni mwa wafanyao biashara? 7Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali,
au kichwa chake kwa mkuki wa kuvulia samaki? 8Kama ukiweka mkono wako juu yake,
utavikumbuka hivyo vita na kamwe hutarudia tena! 9Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya;
kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.