Native Bible

Job 41:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu?

Job 41:10 in English

Job 41:10 · Berean Standard Bible

No one is so fierce as to rouse Leviathan. Then who is able to stand against Me?

Context

8Kama ukiweka mkono wako juu yake, utavikumbuka hivyo vita na kamwe hutarudia tena! 9Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya; kule kumwona tu kunamwangusha mtu chini. 10Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza. Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? 11Ni nani mwenye madai dhidi yangu ili nipate kumlipa? Kila kitu kilicho chini ya mbingu ni mali yangu. 12“Sitashindwa kunena juu ya maungo yake, nguvu zake na umbo lake zuri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.