Ayubu 41:12
Job 41:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Sitashindwa kunena juu ya maungo yake, nguvu zake na umbo lake zuri.
Job 41:12 in English
Job 41:12 · Berean Standard Bible
I cannot keep silent about his limbs, his power and graceful form.
Context
10Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza.
Ni nani basi awezaye kusimama dhidi yangu? 11Ni nani mwenye madai dhidi yangu ili nipate kumlipa?
Kila kitu kilicho chini ya mbingu ni mali yangu. 12“Sitashindwa kunena juu ya maungo yake,
nguvu zake na umbo lake zuri. 13Ni nani awezaye kumvua gamba lake la nje?
Ni nani awezaye kumsogelea na lijamu? 14Nani athubutuye kuufungua mlango wa kinywa chake,
kilichozungukwa na meno yake ya kutisha pande zote?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.