Native Bible

Job 41:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nani athubutuye kuufungua mlango wa kinywa chake, kilichozungukwa na meno yake ya kutisha pande zote?

Job 41:14 in English

Job 41:14 · Berean Standard Bible

Who can open his jaws, ringed by his fearsome teeth?

Context

12“Sitashindwa kunena juu ya maungo yake, nguvu zake na umbo lake zuri. 13Ni nani awezaye kumvua gamba lake la nje? Ni nani awezaye kumsogelea na lijamu? 14Nani athubutuye kuufungua mlango wa kinywa chake, kilichozungukwa na meno yake ya kutisha pande zote? 15Mgongo wake una safu za ngao zilizoshikamanishwa imara pamoja; 16kila moja iko karibu sana na mwenzake, wala hakuna hewa iwezayo kupita kati yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.