Ayubu 41:15
Job 41:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mgongo wake una safu za ngao zilizoshikamanishwa imara pamoja;
Job 41:15 in English
Job 41:15 · Berean Standard Bible
His rows of scales are his pride, tightly sealed together.
Context
13Ni nani awezaye kumvua gamba lake la nje?
Ni nani awezaye kumsogelea na lijamu? 14Nani athubutuye kuufungua mlango wa kinywa chake,
kilichozungukwa na meno yake ya kutisha pande zote? 15Mgongo wake una safu za ngao
zilizoshikamanishwa imara pamoja; 16kila moja iko karibu sana na mwenzake,
wala hakuna hewa iwezayo kupita kati yake. 17Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine;
zimengʼangʼaniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.