Ayubu 41:17
Job 41:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine; zimengʼangʼaniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa.
Job 41:17 in English
Job 41:17 · Berean Standard Bible
They are joined to one another; they clasp and cannot be separated.
Context
15Mgongo wake una safu za ngao
zilizoshikamanishwa imara pamoja; 16kila moja iko karibu sana na mwenzake,
wala hakuna hewa iwezayo kupita kati yake. 17Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine;
zimengʼangʼaniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa. 18Akipiga chafya mwanga humetameta;
macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. 19Mienge iwakayo humiminika kutoka kinywani mwake;
cheche za moto huruka nje.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.