Ayubu 41:19
Job 41:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mienge iwakayo humiminika kutoka kinywani mwake; cheche za moto huruka nje.
Job 41:19 in English
Job 41:19 · Berean Standard Bible
Firebrands stream from his mouth; fiery sparks shoot forth!
Context
17Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine;
zimengʼangʼaniana pamoja wala haziwezi kutenganishwa. 18Akipiga chafya mwanga humetameta;
macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. 19Mienge iwakayo humiminika kutoka kinywani mwake;
cheche za moto huruka nje. 20Moshi hufuka kutoka puani mwake,
kama kutoka kwenye chungu kinachotokota kwa moto wa matete. 21Pumzi yake huwasha makaa ya mawe,
nayo miali ya moto huruka kutoka kinywani mwake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.