Native Bible

Job 41:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moshi hufuka kutoka puani mwake, kama kutoka kwenye chungu kinachotokota kwa moto wa matete.

Job 41:20 in English

Job 41:20 · Berean Standard Bible

Smoke billows from his nostrils as from a boiling pot over burning reeds.

Context

18Akipiga chafya mwanga humetameta; macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. 19Mienge iwakayo humiminika kutoka kinywani mwake; cheche za moto huruka nje. 20Moshi hufuka kutoka puani mwake, kama kutoka kwenye chungu kinachotokota kwa moto wa matete. 21Pumzi yake huwasha makaa ya mawe, nayo miali ya moto huruka kutoka kinywani mwake. 22Nguvu hukaa katika shingo yake; utisho hutangulia mbele yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.